LA MCHONGO
- Sehemu ya 3
“Maliza kula tuondoke, ukapaone Nyumbani kwangu niketipo baby utafurahia.” Marcus alianza kuniita Baby. Nikamaliza kula na kulikosha domo langu haraka haraka nikalibeba kapu langu la tunda tukaeleka kunako Gari ya Marcus. Safari yetu ikapamba moto . Kutoka Moshi Bar hadi Chanika ni parefu, basi kama dakika harobain na tano tulifika ndani ya Mjumba anaoishi Marcus yule Mkaka aliyetaka kuyamaliza malundi yangu kwa Gari yake iliyotua miguuni kwangu.
“Jisikie hupo home mtoto Wada, hapa ndio pangu mwenyewe na kujenga nimejenga kwa gharama zangu mwenyewe.” Marcus alijigamba.
Hakika nyumba ile kwa uzuri naomba nimpongeze Marcus, ameweza. Lango la getini tu ni la bei mzigo, Maua kila kona ya Bustani na bado kuna Mlinzi na Watumishi wa kuhudumu Bustani. Tiles kila kona ya lile jumba, fanicha za bei gharama, kuanzia Masofa, viyoyozi, majiko ya gesi na umeme ……. Nisitaje vyote maana kwa ushamba wangu wachaniseme pale ndo kwanza kupaona pazuri tangu nizaliwe.
Marcus alisimama kutoka Sofani na kuelekea Jokofuni akatoa chupa mbili za vilevi. Nilizisoma vizur zile chupa moja kama sikosei iliandikwa JackDaniel na nyingine iliandikwa Hanson choice. Akaanda glass mbili za hayo manywaji akaweka juu ya meza na kuyamimina. Mie mtazamaji namtazama tu.
“kunywa Baby, kunywa upooze koo!” alinikabidhi glass ya kile kilevi.
“Sijazoea Baby, sjazoea kunywa kilevi. Mie ni wa juisi ya embe na chungwa.” nilijitetea
“Ah! Baby, kwa heshima ya mwenyeji wako naomba ujaribu kidogo.” Sauti yake tamu ilinifanya nilegee na kukubali kila neno asemalo. Hakika kuna wanaume wana sauti ya kumtoa Nyoka pangoni. Nikalainika na kuanza kunywa JACK Daniel ilochanganywa na kipozeo cha Mo energy. Taratibu taratibu nikakizoea kile kilevi sababu sio kikali pia ni cha heshima zaidi🤩😂 Mshamba mie nikaanza kujiona Malkia.
Marcus akawasha Televisheni moja kubwa ukutani tena kwa ujanja wake akachombeza na video za ngono mie mgeni kwenye zile video nikazidi kuweweseka. Kileo alichonipa kikaanza kupanda kichwani kadri nilivyomeza ile Jack Daniel nilihisi kizunguzungu.
“Marck Baby si tuende chumbani tulale jamani” nikabembeleza wakati wote huo mie macho yangu yameregea kwenye ile zipu yake ya suruali iliyoshiba na kutuna Mzee Tembo mwenye hamu ya kuvuruga vurugu shamba la tembele.😂
“Sawa sawa dia,” akaniamsha pale juu ya sofa la mneso, mwanaume akanibeba kama mtoto mdogo kwa mahaba na mapenzi, akafanya kunipeleka ndani ya chumba chake nadhifu, nisiwaadithie kilivyo. Kufika huko mwanaume akanitupa juu ya tanda la fahari na bila kukawia akaanza kujivua nguoze na mie pia nikachangamka kujivua nguo zangu. Kazi nzito ya kumwingiza na kumtoa Mzee Tembo pangoni ilianza kwa zaidi ya dakika hamsini ilikua ni kukuru kakara. Mbona niiliinjoi😂🤭
********”************
“Ngo ngo ngo ngo’ mlango wa chumba cha kulala Marcus uligongwa kwani tulisikia. Aku! sie tuliendelea kukuru kakara za kumtoa na kumuingiza Babu Tembo pangoni, mwendo wa kutawanya shuka, mwendo wa kuvunja chaga kwa miguno na sauti za mahaba
“Ngo ngo ngo ngo’ . Lango liligongwa tena mie nikamwambia Marcus
“Baby kuna mtu agonga mlango” Marcus akanijibu:
“Achana nae. Hapa ni nyumbani kwangu na mm ni Bosi nikiamua kutofungwa sifungui nikiamua kulala tu ninalala. Ondoa hofu. Lakini bado lango liligongwa tena.‘Ngo ngo ngo’ ngo. Mie nikamtaazama Marcus yule mzuri wa sauti nikiwa ningali bado niko na kilevi kichwani nikajiambia Kimoyo 'wacha nikafungue nijue shida nini? Mie nyumbani hapa ndo’ mama wa nyumba. kubughudhiwa Sipendi, watu tupo Katikati ya maraha alafu vimburukutu vinakuja kutoboa.. Ah! Mfyuuu' Nikajiamsha tandani na kujivika kanga moko kwa mashauzi na mineso ya Inye yangu ndebendebe nikaeleka kufungua Lango. Nilifanya makusudi kulitikisa wowowo langu ili kuzidi kumpagawisha yule mwanaume kijana mwenye sauti tamu.
‘kama kunipa atanipa tu.’ Nilijisemea Kimoyo nikiwa naelekea kufungua Lango Ia chumba cha Baby Marcus.
‘Mali zote hizi zitakua zangu baada ya ndoa kufungwa.' Teh teh teh😂😂😂 Pombe sio chai. pombe ilivyonikorea jamani hadi ndoa nikaitamani😂. Tena ndoa ya haraka hata ya mkeka kwangu sawa tu. Nilipagawa.
‘kuajiriwa Bank raha, maisha yanaanza kukuheshimu.” Nikajichekea mtimaini. Kitasa cha fahari langoni nikakishika na kukibinya nipate kuufungua mlango. Mlango nao kwa heshima zake zote ulinikubali niufungue, kwanza utanikataliaje wakati mie nishajivika umama wa nyumba? Ukiniletea nyodo naubomoa na kuubadilisha kwa sekunde…. Mfyuuuuu.
Taratibu nikalifungua pazia la Lango. Langoni macho yangu yakakutana na pande la mwanamke, tipwa tipwa, matiti mazito, sura ya Mkorogo, Mkorogo moto Babu! nisikuhadithie kuungua huko😹, kichwa kimeondolewa nywele ni upara mtupu. nyuma yake wamesimama wanaume wawili watu wazima, binafsi sikuwafahamu mie mgeni hapa.
“Nyie wakina nani na mnashida gani? Binti nilielewa Jack Danieli nikauliza.
“Swali hilo jiulize weye, we ni nani na una shida gani hapa?” Yule mwanamke tipwa tipwa wenye upaa kichwani aliniuliza, mie nikabaki kushangaa wakati huo huo nikamgeukia Marcus aliyeketi juu ya tanda kaachia tabasamu lililonishangaza zaidi.
“Binti leo nitakufunda uiache tabia ya kuiba waume wa watu.” Aliendelea kunena; Nikatetema
“Mie ni mama mwenye nyumba hii Marcus ni mume wangu, huyu Baba upande wa kushoto ni mtendaji wa Kijiji na huyu Baba upande wa kulia ni Shahidi wangu kushuhudia kuwa nimekufumania na mume wangu. Kwaiyo leo utashika adabu yako.”
Bila kupoteza sekunde Jimama lile lenye sura ya Ugali mwekundu😹(Nacheka kama mazuri) likanisukumia ndani kinguvu nikaanguka chini puuu kama gunia lenye mapumba ya kupikia Libeneke, Pombe ya Wamakonde. Kisha wote watatu :Jimama, mtendaji wa kijiji na Shahidi wakaingia ndani ya chumba na lango la chumba likakokomewa krooooo.
“Marcus, nimekuvumilia sana mume wangu, nimekuvumilia kila neno ninaloambiwa majirani kwamba unanisaliti, unaingiza michepuko wengi ndani kila nisafilipo Sasa leo nitamfunda huyu hawara Yako na wewe nitakufunda.” Mwanama aliyeniparama pale chini aliponibwaga aliongea na Marcus ambaye sasa tabasamu na ulevi wake ulianza kuchuja
"Nisamehe mke wangu, nisamehe tafadhali ni shetani alinivamia.” Nikimsikia MARCUS akiomba msamaha tena safari hii kapiga goti chini kwa aibu anatubu.Puuu puuu pooo pooo mie nilietupwa pale sakafuni nilianza kuchezea kichapo
Itaendelea kesho
No comments:
Post a Comment