Naitwa Dominick
Mimi ni Artist yaan mwanasanaa,
Mchoraji mkubwa.. East Africa
Ni maarufu Kwa kuchora picha za Marais na maceleb.. Watu maarufu
Napata madili💸💰🤑 mengi KUPITIA sanaa na kipAJI CHANGU
PESA NJE NJE
NAAMKa na pesa nalala na pesa
Weuwee😅💕 naipenda kaz YANGU.
BASI bwana siku Moja nikatembelewa
Na MANZI FURANI
ANAFIGA YA KUKU
KUKU WA KIZUNGU
Mrefu mwembamba, .....slim body😂
Sifa zisijae gunia
"HI BRO!" MANZI KANISALIMIA"
"HI" NIKAMJIBU YULE MANZI MWENYE SUNLIGHT NA BARAKOA MDOMONI
"NAWEZA PATA PICHA"
"PESA YAKO TU MADAME." NILIMJIBU
Ukinichora poa nitakuachia laki tatu" YULE dame kajinadi
" Duh MANZI ana mpunga huyu, lazima nimchoree good" Nikajisemea mtimani
"Ok karibu, keti." Akavuta kiti kilichokuwa Kona, akaketi
Sket yake ndefuu ya damu ya MZEE, viatu vyake vyeusi vinang'ara, blouse yake nyeusi ilimpendeza
"Nakuchora pamoja na BARAKOA?" Kuuliza sio ujinga, nilihitaji kujua.
"No, nahitaji picha perfect. Kamili. Ngoja niondoe BARAKOA.
Akaondoa miwani yake na BARAKOA.
Jesu!! " Nilitoa macho pima, kama mjusi aliyebanwa mlangoni
MANZI huyu" nilishangaa.
Mmh, kazi ninayo Leo"
"Waeza endelea nichora" Aliongea. Mie Mshangao!!!
"Huyu mtu au Jini?" Nilijiuliza
"Sijapata ona" woga na kutetemeka kukanivaa
Mkojo kidogo uniaibishe. We acha tu
Mwanaume nikamaliza kumchora yule dame
Ningali nateremeka nikamkabidhi picha yake ajitazame
Sijui ataipeNDA!! MMH!
DAME AKAIPOKEA ILE PHOTO DRAWING
Uwii! Akapiga mluzi
Kisha akatikisa kichwa
Alafu akaninyoshea dole👍👌 ishara ya kwamba Mali ipo perfect
Weuweee😂💕 na pesa akatoa, laki tatu na nusu.
Dah!
Asante, akatamka
Kisha MANZI akasepa
Mimi chini puu! Kama nimepata Stroke.
Ndu ndu ndu ndu, mapigo ya MOYO
Kazi zetu hizi zina changamoto
Kubwa Sana na nzito
Mtu Hana mdomo lakini anaongea
Hana pua lakini anapumua
Hana macho lakini anaiangalia photo
Naogopa kusahau Ili tukio maishani mwangu.
No comments:
Post a Comment