MY DARING CASANOVA
Nilirejea ghafla nyumbani, 🚶♂️🏠nyumba aliyojenga mume wangu Wonder, siku hiyo niliaga Jeshini kwa lengo la kwenda kumuaga mume wangu Wonder maana ilibaki wiki moja tu msafara wa Jeshi letu kutoka Tanzania🇹🇿 uanze safari ya kwenda DRC ~Congo 🇨🇩 kuungana na vikosi vingine vya SADC kulinda amani ya Congo.
Kwanini sikutaka kuiingiza Gari🚘 yangu ndani ya Geti⛩️ la Jumba letu? Ok. Ni kwa sababu nilitaka niingie nikiwa na big surprise🎉 🎁💐 ukitegemea tarehe moja mwezi wa kwanza ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mume wangu Wonder, sababu hiyo niliandaa keki🎂🍰 nzuri ya birthday.
Nilitembea hatua kwa hatua tena kijeshi nikapandisha ngazi za kuelekea Veranda, mlango ulifungwa lakini sio kwa ufunguo, taratibu na kwa tahadhari niliufungua nikiwa nimeishika keki ya Birthday mkononi. Lakini ghafla nilipigwa butwaa baada ya kumuona mwanaume wangu akiwa nusu utupu, suruali👖 yake safi na nadhifu ilikua imeshushwa hadi magotini, mwanamke nisiyemjua alionekana kuwa bize akiunyonya uume wa mume wangu.🍆
"Wonder!!" Niliita kwa sauti nzito,💥💢 kwanza alipotupa jicho lake kuelekea pahali niliposimama alishituka yule demu aliyekua akinyonya sehemu za siri za mume wangu alishituka pia akaacha kile kitendo haraka sana, mume wangu akafanya kuinua ile suruali yake iliyotua magotini na kuipandisha kiunoni kwake wakati huo yule mwanamke wake alikimbilia mgongoni kwa mume wangu lengo likiwa ni kujificha sababu aliingia woga aibu na hofu.😰
"Unaogopa Nini? Embu Toka mgongoni kwangu" Mume wangu alijaribu kumparanganyua yule Dame.
"Tumekwisha Wonder!" Dame alitetemeka hadi wigi lake kichwani lilitetemeka.
"Ondoka, ondoka😡🧟,usimuogope." Wonder alimuamuru yule Dame, Dame kwa woga na wasiwasi alitoka nduki 🏃♀️🐎💨 ndani ya nyumba yetu. Mimi na wonder tukatazamana👁️👁️🗨️
"What have you done?" ⁉️Nilimuuliza kwa upole wakati huo Keki ya Birthday🎂 nimeiweka juu ya meza ya chakula.
"Agirihanna ulitegemea ningelifanya nini kama wewe mwaka mzima upo Jeshini 🔫na mimi mumeo nateswa na hisia za kimwili?" Aliniuliza Kisha akaendelea kunena.👄
"Sikufichi Agirihanna mimi mumeo nimepoteza hisia za kupenda 💔au kufanya tendo la ndoa pamoja na wewe." Nilimsikiliza.
"Unajiuliza kwanini umenifumania na yule mwanamke!? Ni hivi yule ni zaidi ya mwanamke na wewe nyumbani kwangu ninakuona kama kinyago cha mpapure tu! Kimya nilimsikiliza tena.
"Ninataka mwanamke ndani ya nyumba sio Captain wa Jeshi la kujenga Taifa, sihitaji mwanamke ambaye atakuja kunitawala baadae na kuwa juu yangu." Lugha yake ilinifanya nipoteze uvumilivu machozi yalinidondoka. 😿😢 Akajaribu kunisogelea nikampigia kelele;🔊
"Tafadhali usinisogele,👉 sikutaka kupoteza muda nikaiacha mizigo yangu yote niliyokuja nayo nikatoka nje kwa hasira, Wonder hakujishuhulisha wala kujali hasira zangu.👺😡
Nilivurugwa kwa zile kauli za mume wangu haraka nikakimbilia Bustanini shamba la Maua na nyasi 🌺🥀kulikua kuna mpira wa maji 💦pembeni, nikauzoa zoa kisha kufunguli koki ya bomba nikajimwagia maji na kuoga nikiwa na nguo zangu za kijeshi (Ninakumbuka mwilini nilivaa kisingledi chepesi, kiunoni nilitupia Suruali na laba zangu nzito.)
"What a wonderful girl!!" 💖 Sauti ya mwanaume aliyesimamisha Gari pembeni ya miguu yangu ilisikika. Alikua ni mtanashati 😍🥸mmoja ambaye sikujali Lugha yake.
"Waooo! 😱😘Natamani kulala na Solder, Kwan kulala na Mwanajeshi ni bei gani kwa mfano!?" Alitoka ndani ya Gari yake ile nzuri aina ya Tesla.Gari hadimu kupatikana ndani ya nchi yetu.
"Shit!?" 🫥Nilipandwa hasira, Lugha ya yule mwanaume kijana haikunipendeza, nikamsogelea hadi pale aliposimama nikamshenyenta na kumzandika ngumu moja nzito ya kikomando iliyotua puani kwake, akagugumia kwa sauti ya maumivu makali maana damu zilianza kumchuruza kutoka puani 👃🩸
Sauti ya maumivu ya yule mwanaume ilimfanya mume wangu Wonder atoke ndani mkuku mkuku akasimama pale alipoangukia yule mwanaume bila huruma alitishia kuniponda kwa ngumu na mateke, lakini angeweza!? Si anajua mie ni lron Lady mwanamke wa chuma.
"Ndio maana nimekwambia siwezi kuishi na mwanamke mwenye mabavu dani ya nyumba yangu." Akamgeukia yule Bwana niliyempa kipondo cha pua. "Pole sana rafiki Bwana Casanova mwanamke huyu simtaki Wala Sina haja naye." Aliongea akininyoshea mkono.
"Mbona hukuniambia kama umeoa na na unaishi na mwanamke mrembo kama huyu!?" Yule Bwana aliuliza.
"Historia ndefu jirani yangu!?" Wonder alimjibu yule Bwana kwa kifupi. Akanigeukia akaendelea kunipa Lecture zake.
"Agirihanna hatuwezi kuishi hivyo ninasema nimekuchoka hivi kwanini usiondoke tu hapa nyumbani kwangu kuliko kuendelea kuishi na mtu ambaye amekutoa mtimani 💔mwake. Nasema sikupendi fahamu pia majirani hawana hamu na wewe." Aliongea sana na kupiga kelele. Mapenzi nyie walisemaga wahenga :'Hata Mjeshi awe Mikali namna gani lakini kwa mumewe ujigeuza mtoto mpole' ndo' mie nilijigeuza mtoto kwa mume wangu Wonder niliyempenda kwa dhati.
"Ok. Naomba yaishe," Niliingia ndani nikalichukua begi langu kubwa lile nililokuja nalo kutoka kambini, nikatoka nje na kuanza kuondoka.
"Usirudi tena hapa, hata majirani hawakutaki, hawataki kuishi na Mjeshi." Alirudia kauli zake za awali, Wala sikumjibu maana mapenzi kati ya mimi na yeye yalichina.
Kipindi naondoka nilimuona yule mwanaume niliyempa pondo la pua alikua akiangaika kufuta damu zilizomchuruza kutoka puani. Kwa uzito wa kile kipondo hakika pua yake ilitaka kupinda na kuregea. Nilisimama kwa sekunde chache nikamtazama Kisha nikajisemea mtimani:
'Niifute past moyoni mwangu, niikaribishe future moyoni mwangu.' Nikatabasamu😊 na kuelekea kule alikosimama yule mwanaume mtanashati. Uzuri alisimama nyuma ya buti la Gari yake afutafuta damu puani.
"Sikujua kama jirani yangu Wonder kaoa, samahani kwa hilo." Aliongelea puani na pua yenyewe ilivuja damu. Nilipohakikisha nimeweka begi langu ndani ya buti nilimsogelea nikashika pua yake iliyolala upande nikaibinya kwa nguvu na kuiweka sawa. Akapiga kelele kidogo 'Aah! Taratibu utanivunja basi' Nikamcheka😂.
"Nipeleke popote unapoona panafaa kwa mrembo kama mimi kwenda, kuanzia Leo Wonder sio mume wangu Bali ni Ex-husband." Nilimjibu
"Utaenda wapi na utalala wapi!?" Aliniuliza
"Popote nitaenda na popote Kambi nitalala." Nilimjibu tena.
"Twende nyumbani kwangu ninachumba kizuri kulala." Damu zilizokua zikimtoka sasa zilikoma.
"Haina shida twaweza enda." Alifunga buti ya Gari yake wawili tukajitoma Garini Safari ya kuelekea kwake ikapamba moto. Tulipiga story njiani Dereva wangu Alijitambulisha kwa jina la Casanova yupo singo na ni mmiliki wa makampuni makubwa hapa Afrika mashariki. Mie pia nikajitambulisha kwake na kumwambia cheo changu Jeshini yaani Captain wa Jeshi la kujenga taifa (JKT)
Tulipofika nyumbani kwake Bwana Casanova alinikaribisha sebuleni na kuniandalia Kahawa nzito pamoja na vitafuno kwa kweli nilifurahia huduma yake. Basi tulianza kupiga story mbili tatu za hapa na pale mie sikumficha juu ya ile Issue ya kumfumania mume wangu Wonder akizini na kahaba wake, pia sikumficha juu ya kutimuliwa nyumbani pale alipojenga mume wangu Wonder kisa kikiwa ati alipoteza hisia za kunipenda milele.
Casanova alionesha kujali, binafsi sikuutegemea upendo mkubwa alionionesha kutoka kwake alinieleza Kila kitu kuhusu upendo wake kwangu. Aliniambia ananipenda pendo la kupendeka, pendo tamu kuliko Pipi. Basi tulikula na kuinjoi pochopocho la mchana na pia usiku tulikula Dinner Kisha tukaingia Master bedrooms kulala. Ajabu Casanova alikua akiogopa kufanya tendo la ndoa pamoja na mimi.
Nikajidamsha pale kitandani, nikajiketisha nikimtazama kisha nikamwagia swali: " kwanini wanifanyia hivyo?" Alitamani kujibu nikamzuia 'shhhhhh' nikanena tena.
"Au wewe ni hanisi? Haunipendi waniongopea kwa sababu mimi ni Mjeshi." Casanova wangu akanijibu akiwa amelala juu ya kitanda chake.
"Hapana Agirihanna mimi sio hanisi pia ninakupenda pendo la kupendeka.💖💝
"Sasa kwanini waogopa kufanya ngono pamoja na mimi......" Sikumaliza kauli yangu Casanova alinivamia pale kitandani akanilaza chalii akanipa ulimi wake.... Weuuuuwe!!! 😂Nilianza kunogewa..... Mechi yetu ilichezwa uwanjani dakika tisini tukawa hoi bin taabani juu ya Huba tulilopeana
*************
Penzi langu mie na Daring Casanova lilinoga, tulipopika hatukusita kupakua, tulipofua tulifua pamoja na kuoga tena ulikua ni mwendo wa kuogeshana. Matani na mipango Mingi mingine ya kimaisha iliitia fora.
Baada ya wiki Moja kupita nikiwa ndani ya penzi la sweet Casanova siku moja nalikua nimejibwaga kitandani usingizi wangu ukinipa ongezeko la siku za kuishi
Duniani. Niliifadhi Bastora🔫 yangu kitandani upande wa bega langu la kulia nilishtuka nilipomwona Darling Casanova akinyata kuelekea pahali ilipoo Bastora yangu. Nikaamka ghafla pale kitandani na kuiwai Bastora yangu Kisha nikampointishia na kumuuliza 'What are you doing?' Mpenzi wangu alitabasamu akajiketisha ule upande Bastora yangu ilihifadhiwa kisha akatoa Box dogo alilolifungua na kunionesha Pete yenye kito cha💍 Almasi, akatamka:
"Will you marry me🤵💒.(Nataka kukuoa)" Nilishangaa Kisha nikamjibu.
"Umerogwa mpenzi Casanova? Yaani ndani ya wiki Moja tu unataka kutangaza ndoa?" Wangu wa Huba akanijibu:
"Mapenzi hayabagui, mapenzi hayachagui. Kwako nimekufa mazima nasubiri unizike tafadhali tamka neno 'Yes,👰💒 lwill marry you' (ndio ni tayari kuolewa na wewe)
"No! I'm not leady (Hapana! sipo tayari.) Nilinena pasina kupepesa macho.
"Why not (Kwanini hapana!?) kama ni suala la mumeo, mumeo tayari amekukataa tena Hana haja na wewe. Tafadhali naomba nafasi moyoni mwako niitumie." Casanova alinibembeleza.
"Hapana Casanova Nina hofia kukuweka katikati ya hofu"😱🤯
"Hofu! Hofu gan Laazizi!?"Aliniuliza.
"Binafsi unajua mie nimebakiza siku tatu tu nielekee DRC 🇨🇩 kushika hatamu. Hivi je nikirejeshwa mfu si ntakutia hofu, kilio, machungu stress na wakati mgumu!?"" Niliendelea kunena;
"Nisiporejea wangu wa moyo utapata uchungu na presha. Kamwe haitapita siku pasina wewe kuniwaza" Ni kama vile hisia zilizochanganyika na hasira zilinivamia nikaamka pale kitandani na kubeba buti, Bastora na begi langu lenye vitu vyangu muhimu kisha nikafanya kutoweka na kumuacha huzuni mtimani.
""""""""""""""""""''''''''"""
Siku ya kuondoka Tanzania na kuelekea DRC mie Captain Agirihanna nikafanya ukaguzi wa Jeshi langu ambalo ningeliondoka nalo kutoka Tanzania kwenda DRC.Basi katika pitapita ya ukaguzi wangu nilishtuka kumuona Casanova ametinga mavazi ya kijeshi tena amepanga mstari wa mbele pamoja na Wanajeshi wa kundi nililotakiwa kusepa nalo. Mie nikauliza swali:
"Nielezeni hivi ni nani aliyemruhusu huyu mtu awepo ndani ya kundi langu!?" Hakuna aliyenijibu. Nikamwita Casanova:
"Casanova"
"Yes captain" Aliniitikia kwa heshima na ukakamavu.
"Sogea mbele." Alitii amri akasogea mbele na kunipigia saluti.
"Haraka uje Ofisini."
"Yes captain" Alikubali wito.
Nikaelekea Ofisini moyo wangu ukiwa umechanua kama Uaridi🌹tabasamu nene na pana lilinitoka kinywani💋 macho ya furaha na mapenzi yaling'ara na kunipendeza👁️
Nilifurahia Casanova mtu ambaye amenipenda hata anifuate twende wote Vitani. Nilifurahia jinsi anavyojali ingawaje hajui jambo lolote kuhusu vita au Jeshi. Kwa sababu ya mapenzi Casanova ameacha Kila kitu muhimu maishani mwake ili tu anifuate mpenzi wa moyo wake. Ameacha cheo chake, mali zake na Kila kitu alichonacho ili tu awe karibu na mtu autesaye moyo wake na mtu huyo si mwingine zaidi ya mimi. Mtimani nilijiambia
'l love you my Daring Casanova 💝💖🌹.
###########
TCHAO 💖
#######*****
No comments:
Post a Comment