NILIPORUDI VITANI NILIMKUTA MUME WANGU AMEOA MKE MWINGINE KWA HASIRA NIKAIVUNJA NDOA LAKINI MIAKA SITA MBELE TULIKUJA KUONANA TENA.
Ninakumbuka ilikua ni asubuhi Moja tuli tulivu kama maji mtungini, upepo💨 mwanana uliifanya miti 🌲🌴itabasamu☺️ Ndege 🐦🦜🕊️ juu mitini waliimba Tenzi na Mashairi 🎶 Vipepeo 🦋 na wadudu 🦗🐛🐝🐞🐌 wengi wengineo hawakukoma kujinadi kwangu mie Sheira Lulu niliyepita kwa furaha ya kurejea nyumbani kwa mume wangu, Huba na penzi 💖💘langu la thamani up nililoliacha miaka miwili na ushee baada ya mie kukimbizwa DRC Congo kwa tamko la Umoja wa Mataifa nilikua ni mmoja wa waliochaguliwa kwenda kupambana na waasi wa M-23.🔫
Mapambano ☠️💥ya kuwaondoa Waasi walioiteka miji mbali mbali ya DRC hayakua poa, ndani ya ile miaka miwili tulipambana kiume tukishuhudia wenzetu Lukuki wakiaga Dunia,⚰️💀 tisa kumi nilimshukuru Mola wangu 🙏🙇♀️baada ya kumaliza mapambano na Sasa ilikua ni furaha ya kurejea nyumbani kwangu kumfurahia Habibu wangu anipaye Cha mtoto🍆 🍑maana sio kwa upwiru ule nilimiss sana cha Mtoto.🍆😂.
👣Step kwa step🦶🦶 mara baada ya kushuka kutoka ndani ya Gari yangu nilitembea pole pole na kwa madaha ya Tausi Ndege 🦚🕊️ mzuri Polini, begi langu mgongoni liliosheheni vifaa vya aina mbali mbali nilivyorejea navyo pasina kusahau zawadi tele kwa ajili ya Habibu wangu wa moyo.💞
Nilipogusa mlango wa sebuleni, 🚪mlango wenye kitasa kizuri kilichonakishiwa dhahabu🌟🔑 Og, ulilia 'Fyuuu' ishara ya kunikaribisha👐 kwa tabasamu la 'Karibu mama mpenzi' 🤗 Nikajitoma 'inside' Lundi 🦶 la mashoto lilitangulia Kisha Lundi la kuume lilipokea kijiti.
Mboni za macho yangu👀 ziligota juu ya picha iliyogogomewa na kugota juu ya kuta 🖼️ niliitazama nikamuona Mikali wangu amenikumbata asitake kuniacha mithilia kumbukumbi. 🐜 Mtimani nilifurahia sababu lile kumbato 👥ni ishara njema ya mapenzi yasiyochuja.
Sebule haikubadirika sana kama nilivyoiwacha ndivyo nilivyoikuta; Meza ndogo ya duara mbao ya Mninga, Kuna Ua💐juu yake kama darizi. Sofa mbili kubwa za usasa zimepambwa vitambaa vyenye darizo la maua, kabati liliosheheni vyombo kutoka China, 🍽️chini ya sakafu Zulia la plastick lilipendezesha nyumba yetu. Labda kilichoongezeka ni Televisheni 📡📺 kubwa ya usasa na simu ya mkonga.☎️📞
Nikafanya kutembea kuelekea Jikoni nlikohisi yamkini Kuna mpishi akataye Nyanya,🍅 vitunguu🧅 au carrot🥕 maana niliskia sauti ya bao la makato likipiga kelele ndogondogo.
Nilipofika mbele ya mlango wa jiko nikatupa jicho langu na kukutana na mwanamke mrefu wa kimo, mweusi wa rangi, tumbo lake limefutuka 'futuuu' mimba kamili🤰, mimba ya miezi tisa, aliacha kukatakata vitunguu🧅🧅kwenye bao la makato akanitazama na mie nikamtazama, tukatazamana 👀 👁️👁️🗨️tena kwa mshangao. Wakati mwenzangu akijiuliza kimoyo 'Ninani huyu ?! Mwanajeshi🤷 atafuta Nini kwangu? Kuna Nini jamani?' Mie pia kimoyo nilijitwika kiroba cha maswali 'Ni nani huyu? Mjamzito? Mikali kaoa au ni nduguye. Eeh!' Sikuambilia jibu la moyoni.
"Karibu." Alinikaribisha. Sikumwitikia zaidi ya kumtazama.
"Wewe ni nani!?" Alinihoji. Baada ya kuona ukimya wangu.
"Labda nikuulize wewe ni nani katika nyumba hii."⁉️ Hakulaza mdomo alikua mnenaji na mdadisi akanijibu;
"Mie ni Lela Mama mwenye nyumba hii" Alijitambulisha. Nilibaki bumbuwazi Ina maana Mikali tayari ameoa!! Hata kabla sijamuuliza swali jingine Mikali aliingia pale sebuleni kutoka mlango wa master bedroom.
"Sheira Lulu." Aliponiona aliongea kwa mshituko kama Jusi🦎 lililobanwa mlangoni, macho yake pima👀.
"Mikali mpenzi umeoa!!?" Nilimuuliza.
"Nilijua umekufa Sheira, nilijua umekufa vitani baada ya miaka miwili ya kukusubiria na kukata tamaa." Hakunijibu swali langu zaidi ya kutoa maelezo.
"Si ulisema utanisubiria milele, kwenye Jua na kwenye mvua." Kabla hajanijibu mkewe aliingilia kati.
"Mikali hii takataka ni nani kwako ninaomba itoke nje, sihitaji upuuzi kwenye nyumba yetu."Aliongea kwa hasira.
"Usimwite takataka yeye ndiye mmiliki wa hii nyumba."
"Hata kama, ninaomba atoke nje, sihitaji kusikiaupuuzi wake." Lela alipiga kelele yawezekana Mimba ilimchefua.
"Mikali ninaondoka, Asante sana kwa kuivunja ahadi yako." Nilitoka hima🏃♀️ndani ya nyumba yangu, nyumba niliyomkabidhi Mikali aisimamie hadi pale vita itakapokoma lakini ubaya wake Mikali aliivunja ahadi yetu.
"Please Sheira, please usiondoke, usiniache." Alinikimbilia aliponiona nasepa zangu.
"Mikali my love kumbuka mimi ni mjamzito, usiniache tafadhali"Lela alimpigia kelele Mikali lakini Mikali hakujali alinikimbilia hadi nje nilikotoka mara baada ya kuubutua mlango kwa hasira za ndimu.🍋👿💢
"Please Sheiralulu usiniache,please l beg you." Alinishika mkono, nikausukumiza mkono wake kule mithiri ya mwiko unaompokonyoka msonga tonge asongaye nguna.
"Niache nakwambia, niache Malaya mkubwa wewe haukua msubirivu kwangu." Nilimpokea kama matarumbeta yanayopiga kelele na kufoka.📯🎺
"Bado upo moyoni mwangu Sheira, haikuwaipita siku, saa Wala tarehe ambayo sijakuwaza." Ninakupenda. Aliongea kwa bembelezo.
"Kama ulikua unanipenda usingelinisaliti Mikali." Niliongea mishipa ya hasira ikiwa imenitoka shingoni, damu ya hasira ukiwa inakimbia vibaya mishipani. Yaani damu ilitamani kuipasua mishipa yangu nigeuke Zombie wa kuachwa.
"Sikukusaliti💔 Love, nilijua uliishaaga Dunia sababu ulichelewa kurejea nyumbani." Alijitetea lakini sikujali utetezi wake. Nilielekea kwenye Gari niliyokuja nayo naye naye alinifata kama umbwa na mkia wake. Nikaingia kwa hasira upande wa Dereva nikashika ufunguo ili niiwashe gari yangu nitowekee mbali na peo za macho yake lakini kabla sijaiwasha ile Gari alinishika mikono yangu, nikamtazama na yeye akanitazama machoni. 👁️Wakati mie nimekabwa na hasira 😡yeye alihitaji kuyaweka mambo sawa.
"Ninakupenda Sheira kumbuka Bado upo mtimani mwangu." Mikono yake ilijaa fukuto la moto wa mapenzi. Nilishangaa aliponisogelea, USO wake ukawa karibu na uso wangu, akanipapasa lips zake zilikaronia lips zangu, macho yetu yalizingirwa na viemoji tena viemoji vya moyo wenye hamu na tamaa ya mapenzi ulitegemea ni kipindi Cha muda mrefu Sasa sijakutana na Mikali wangu.
Tulinuonyana ndimu ndani ya ile Gari dakika na sekunde zilipita taratibu tulianza kuvuana nguo zetu na kiweka pembeni ya Gari Kisha tukazamis nyuma ya Gari hapo hisia na matamanio ya ngono yalipamba moto. Kilichofusts ulikua ni kuogelea ndani ya dimbwi la Huba na kupigishana kelele za mahaba.
Dakika harobaini baadae wote tulikua tumechoka na kuanza kuvaa viwali vyetu baada ya kuvaa tuliketi ndani ya lile Gari Mikali alianza up ya kuniomba msamaha na mie kwa moyo mkunjufu nilimsamehe
Mie kwa moyo wote nilimsamehe nikamwambia vitu vyote nilivyoviacha ndani ya nyumba yangu nakuachia sema kurudiana na wewe haitawezekana tena.
'Ooooh! Jamani, uwiii saidia nakufa mimi!😢😭' Ghafla tulikatizwa maongezi yetu mara baada ya kusikia sauti ya kilio ikitokeza Sebuleni.
"Mkeo analia." Nilimwambia Mikali
"Sijui kapatwa na kadhia gani? Embu ngoja nikamtizame." Mikali alipotoka ndani ya Gari na mie nikamfuata. Tulipofika ndani tulimkuta mkewe akiwa amesimama pembeni ya sofa analia tumbo la uchungu wa kujifungua likiwa ulimemkamata, chupa yake ulikua tayari imepasuka. Tukafanya kumbeba mie upande wa kulia Mikali mashoto mzoemzoe tukampeleka nje ya gari kwa lengo la kumkimbiza Hospita, lakini mke wa Mikali aligoma kupelekwa hospitalu alidai mtoto yupo karibu kutoka.
Nikaingia ndani ya Gari yangu nikatoka kijimkeka na kumlaza sakafuni, nikavaa grovu mikononi na Mikali pia akafanya hivyo hatua iliyofuata ulikua ni kumtaka Lela kwa u pole na kwa daraja avute pumzi na kumsukumiza mtoto ili atoke maana kichwa cha mtoto kilikua kikichungulia.
Kwa kilio na uchungu Lela alifanya kuvuta pumzi na kumsukuma mtoto mikono akiwa ameishikilia mikono ya Lela, mikono iliyokaza kuvuta hadi kuumiza wakati mie namchungulia mtoto aliyeanza kutoa kichwa chake kama Jua pevu la Alfajiri.
"Vuta, vuta, vuta, kaza mwanamke" Nilimsihi Lela ajitahidi kupambana na hali yake, alitii, alijikaza naye akavuta mtoto alitoka taratibu na kukamilisha ujio wake Duniani.
Tulikifunga kitovu cha yule Malaika na kukikata pia tukamwekaka mtoto kwenye tambarasafi, tukamhudumia Lela huduma ndogondogo muhimu. Mie baada ya kuimaliza kutoa msaada wangu nilimuaga Mikali 'kwaheri ninaondoka sintarudi tena' Mikali alianza kulia kiume, alinililia penzi lake la zamani lakini mie sikujali niliwasha gari yangu moto na kutoweka.
MIAKA SITA BAADAE (SIX YEARS LATER)
Lela akaomba kutengana na Mikali, kumbuka hapo tayari wamejaliwa kuwa na mtoto waliyempa jinale Shela. Sababu iliyompelekea Mikali kutengana na Lela ulikua ni Moja tu 'Mikali alipoteza hisia za kumpenda tena Lela baada ya kuniona mimi tu'. Mikali akawa kila siku ni mtu wa simanzi vilio na kudhoofika. Mikali akawa ni mtu wa kunit afuta Kila Kona ya Dunia lakini asinipate.
Nyakati za usiku wawapo kitandani Mikali alilitaja taja taja jina langu ndotoni. Walipokua katika tendo la ndoa Mikali hakumridhisha mkewe sababu moyoni mwangu hakunitoka, walipokua wakila chakula Bado tu akilini mwake sikumtoka, aliniwaza chakulani. Alikonda na kudhoofika hatimaye Lela alipogundua kuhusu jambo hili akaomba atengane na mumewe naye akabeba Kila kilicho muhimu kwake na kumuacha mtoto Shela mikononi mwa babaye Kisha akatoweka mbali na peo za macho.
Basi siku Moja mie Sheila Lulu na mwanangu Grace tulifanya kutoka nyumbani kwetu na kuelekea pahali pa kuyafurahia Maisha yetu, tulichagua Bustani nzuri yenye Kila aina ya michezo kwa watoto. Nilitaka mwanangu awe ni mwenye furaha hivyo nilimruhisu acheze michezo mbalimbali pamoja na watoto wenziwe. Mwanangu alifurahia kuruka kamba, kijificha na mengineyo.
Mie naliketi pahali nikilamba lamba ice cream yangu mdomoni ghafla dakika kadha zilipita pasina kumwona mwanangu Grace karibu yangu, alichelewa kurudi kutoka kwenye hiyo michezo yao. Ilinibidi nichukue jukumu la kumtafuta mwanangu nikiita ngeli yake 'Grace, Grace mwanangu Grace uko wapi?' wakati huo huo nalikua nikiisikia sauti ya mwanaume ikiita kwa nguvu 'Shela, Shela, Shela uko wapi mwanangu?' Nilihisi kama naifahanu ile sauti lakini sikuitilia maanani.
'Shela, Shee....' Mola wangu we! Niligongana uso kwa USO na huyu mwanaume aliyekua akimtwfuta mwanaume aitwaye Shela. Nilipomtizama na yeye alinitizama Kisha akampiga ukelele kwa kuniita 'Sheila Lulu....' mie nae nikamwita kwa nguvu zote 'Mikali.' Alinikimbilia na kunikumbatia kumbato nililolimiss miaka mingi sana, akalia chozi na mie nilatokwa chozi zito.
"Nilikumisi mpenzi wangu😢" Alitamka.
"Nilikumisi pia Mikali wangu."🥹 Nilimjibu. Akanipiga kiss mdomoni😘 denda zito nikalipokea kwa mikono mkunjufu.
"Kwanini ulinitesa?" Aliniuliza.
"Nisamehe Dear,"Alimwaga chozi mie pia niliugua kwa machozi.
"Dadiii," sauti ya mtoto wa kike iliita. Tuligeuka kumtazama.
"Mamiiii." Sauti ya mwanangu iliita. Watoto wale wawili walikua wameshikana mikono kwa furaha. Shela akamkimbilia Mikali na Grace akanikimbilia. Watoto wakatukumbatia kwa furaha.
"Una mtoto?!" Aliniuliza kwa mshangao.
"Nadhani huyu ndiye mtoto wa mkeo Lela!?" Kabla sijamjubi swali lake nilimuuliza langu.
"Ndio, lakini mie na Lela tuliishatengana."
"Oh! Pole," Nilimfariji Kisha nikamweleza jambo.
"Mwanangu huyu anaitwa Grace ni mwanako pia, damu Yako." Alishangaa kivipi!!?
"Ile siku Shela alipozaliwa, siku nilipotoka DRC vitani nilikuja nyumbani nikiwa katika siku za hatari yangu, Tulifanya ngono. Nilipojigundua kuwa nimeshika mimba sikutaka kuitoa nilitaka kukuzalia na kukutunzia kumbukumbu ya milele. Ninakupenda sana Mikali wangu." Nilimweleza, chozi 😢🥹 la furaha lilimbubujika.
"Nakupenda pia Sheila Lulu, wewe ni mama Bora." Alinikumbatia.
"Ninahitaji turudiane na kusamehe yaliyopita." Nilimwambia.
"Asante Sheila nipo tayari hata Sasa." Alinikiss shavuni, 😘akatabasamu😊 na macho yake yakatoa Nuru 🤩ya mafanikio, akanipendeza tena 😍 akanipendeza zaidi ya zamani, zamani vita ilitutenganisha lakini Sasa mapenzi yametuunganisha. Wakati wa mapenzi umekua ni muda sahihi.
*'''''''''''*''''''''''''""""" ''"*"""""
TCHAO
Greetings in the name of Love 😘
*'''""""*""""""*""""''""*"""""
No comments:
Post a Comment