Saturday, August 2, 2025

I MISS YOU CHUGA


 CHOMBEZO


: I MISS YOU CHUGA


SEHEMU YA KWANZA


ILALA, DAR -ES -SALAAM


ILIKUWA YAPATA SAA KUMI NA MOJA alfajiri⏱️ nilikuwa nimelala na Mume wangu Jerome milalo yetu siku zote ni milalo ya kaka na Dada, sababu simpendi Jerome na kutokana na sababu kuwa simpendi Jerome nimekuwa mvivu wa kumpa unyumba. Namnyima mapenzi ninampatia pale tu nikijisikia wala sio yeye akijisikia sababu ya kumnyima mahaba Jerome ninaijua mie mwenyewe, ninamchukia sababu mapenzi hayawezi, ni goigoi mapenzini, kimoja tu tayari keisha choka, kimoja tu ndio baaasi,😂 hawezi na wala kamwe hatorudia hadi kesho majaliwa.


 Ndio maana simtaki Jerome, haniridhishi wala hanipi raha za kutosha, ananiachia maumivu ya kukosa penzi nono, ananiacha nikiweweseka kitandani, bado dudu washa washa lamwitaji mwanaume. Any way nilidamka pale kitandani nikaeleka mezani sehemu ilipo simu ☎️yangu aina ya Samsung Touch screen, nikacheki nani mpigaji👁️


 Uwii! 🤔Moyo uliniidunda ndu! Ndu! ndu! Roho ikaniambia “Umwoni mumeo, labda hajalala, usipokee simu, nenda chooni kaipokee uongee na mchepuko wako, maana Jerome akisikia juu ya maongezi yenu atakuuwa 🔪 Mwanaume yule.”


 Basi mie SONIA nikaichukua simu yangu nikaeleka chooni ili nimsikilize OBI mchepuko wangu huyu ndiye anipaye raha za ulimwengu. Obi ni kijana mmoja mrefu kiasi, mwembamba sana, mzuri wa sura, mambo anayaweza sababu ile kitu yake pale kwenye UNO, ni kitu mkono wa mtoto mchanga inanipagawisha kweli, inanipa raha, inanisugua vizuri, inaniondolea stress na pia inanipunguzia miwasho ya kwenye kitumbua changu.Haki jamani Obi ameniteka.


 Lakini kuna kitu kimoja ninakichukia kuhusu Obi, Obi amenigeuza mie BANK ATM. 🏧Obi ananichuna vilivyo, ananilia pesa mingi hanipi penzi bila kumpa pesa, ananinyima nisipompa pesa na mie Sonia ninahitaji kitumbua changu kiliwe chote niwe regerege tepetepe, ujiuji mrenda. 🥲


 Kwake Obi mie siwezi wala sijiwezi, Uzuri wa Obi mambo ananipa tofauti na Jerome Mume mwenye Kibamia mambo hayawezi, vyakula bora hali, mazoezi hataki kufanya, yupo yupo tu kama goigoi punda mzigo.🐎


 Basi mie Sonia nikatoka mle chumbani, kwa tahadhari, nisije nikamwamsha JEROME, niende kumsikiliza Obi anashida gani alasiri yote hii kama ni pesa leo lazima nigome kumpa, na tena kwa lazima namwambia nimechoka kumpampa pesa, hanipi ile dudu mkono wa mtoto mchanga bila pesa, ah! Nimechoka jamani ananiudhi mwanaume huyu wa Dar yaani ananiuzia dudu? Ndivyo walivyo wanaume wa Dar.


 “Hallow!” Nikiwa chooni choo cha uswahili huku kwetu SHARIFU SHAMBA niliipokea ile simu, nikiongea sauti ya chini, majirani wasisikie, wala mume wangu Jerome asije akashitukia. Asije akagundua kuwa mkewe nina Mchepuko.


 “Hallow! Naongea na Sonia?” Mungu! Nilishituka Kidogo, sauti ya mpigaji ni ngeni masikioni mwangu japo simu ya mpigaji ni Obi Mchepuko wangu kama nambari zake zinavyojisoma juu ya Screen. Nilijiuliza Nimjibu au nisimjibu? Hapana, mtu hakatai wito, nikamjibu.


 “Yeah, mie ni Sonia wewe nani mwenzangu.”


 “Unaongea na Polisi👮‍♂️ hapa kituo cha PANGANI ILALAA BOMA. Je unamfahamu mtu anayeitwa Obi? Maelezo yale yalinishitua kidogo nikajiuliza Obi Mchepuko wangu amefanya nini jamani hadi akamatwe na Polisi?Jamani Mchepuko wangu ana kosa gani? Moyo wangu ulijaa wasiwasi


 “Ndio nina mfahamu, kwani Obi amefanya nini?” nilimjibu na kumuuliza yule mtu aliye jitambulisha kwangu kama Askari polisi,


“Wewe njoo hapa Pangani kituo cha Polisi utapata maelezo zaidi, kwa kifupi mtu wako wa karibu amewekwa ndani ana masaa machache sana kabla hajapelekwa Mahakamani, basi fanya, faster kabla Jahazi halijazama.” 🚣⛵Yule Polisi aliongea, hakutaka kuongea zaidi na mie nikamjibu nikamwambia ninakuja akakata simu.


 Ooosh! 😤nilivuta pumzi ndefu nikaiachia nikiwa bado nimejibanza ndani ya kile choo cha uswahilini, choo chenye mlango wa gunia, moyo mapigo, huzuni ilinijia, nikatia hofu juu ya Obi Mchepuko wangu yule kijana mrefu mwembamba mweusi tii, mwenye dudu tamu, dudu 🍆ndefu nyembamba inayonikosha mie nami nikakosheka, Nampenda Obi kuliko huyu Kibamia wangu Jerome najisikia furaha nikiwa na Obi kuliko huyu Kibamia wangu Jerome. Some time najikuta nikijilaumu kwanini nilikubali kuolewa na Kibamia Jerome? Kwanini nisiolwewe na Obi? Mtu anisuguaye kitumbua changu hadi Napata raha, Jamani bahati hii isinipite.


ITAENDELEA.


Usisahau kuffolow

Elaija Mwalu 


Usome sehemu ya pili

No comments:

Post a Comment

ZEE LA ZAMANI

  SEHEMU YA KWANZA. HOTELINI Ndani ya Hoteli Paradiso katikati ya Jiji la Mzizima (Dar es salaam) ZEE LAZAMANI akiwa na Mwanagenzi wake JAN...